Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Yuda akaona ya kuwa wataweza kumfaa kwa mambo mengi, akakubali kufanya mpatano nao. Wakapeana mikono, kisha wakaenda zao mahemani kwao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Yuda akaona urafiki huo ungeweza kuwafaa Wayahudi kwa namna nyingi, akakubali kufanya nao amani. Baada ya hayo, Waarabu wakarudi kwenye mahema yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Yuda akaona urafiki huo ungeweza kuwafaa Wayahudi kwa namna nyingi, akakubali kufanya nao amani. Baada ya hayo, Waarabu wakarudi kwenye mahema yao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Yuda akaona ya kuwa wataweza kumfaa kwa mambo mengi, akakubali kufanya mpatano nao. Wakapeana mikono, kisha wakaenda zao mahemani kwao. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA12 Yuda akaona urafiki huo ungeweza kuwafaa Wayahudi kwa namna nyingi, akakubali kufanya nao amani. Baada ya hayo, Waarabu wakarudi kwenye mahema yao. Tazama sura |