Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Mapigano yalikuwa makali sana, lakini Yuda na watu wake walishinda kwa msaada wa Mungu. Wale wahamaji waliposhindwa, walimwomba Yuda afanye urafiki nao, wakiahidi kumpa wanyama na kuwasaidia kwa njia nyinginezo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Baada ya mapigano makali sana, kwa msaada wa Mungu, Yuda na wenzake walishinda. Ndipo mabedui hao walioshindwa wakaomba wawe marafiki wa Wayahudi, wakiahidi kuwapa wanyama na kuwasaidia kwa njia nyinginezo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Baada ya mapigano makali sana, kwa msaada wa Mungu, Yuda na wenzake walishinda. Ndipo mabedui hao walioshindwa wakaomba wawe marafiki wa Wayahudi, wakiahidi kuwapa wanyama na kuwasaidia kwa njia nyinginezo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Mapigano yalikuwa makali sana, lakini Yuda na watu wake walishinda kwa msaada wa Mungu. Wale wahamaji waliposhindwa, walimwomba Yuda afanye urafiki nao, wakiahidi kumpa wanyama na kuwasaidia kwa njia nyinginezo. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA11 Baada ya mapigano makali sana, kwa msaada wa Mungu, Yuda na wenzake walishinda. Ndipo mabedui hao walioshindwa wakaomba wawe marafiki wa Wayahudi, wakiahidi kuwapa wanyama na kuwasaidia kwa njia nyinginezo. Tazama sura |