Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Ikawa walipofika kiasi cha maili moja na zaidi kidogo kutoka pale, njiani kwenda kwa Timotheo, walishambuliwa na kundi la Waarabu wasiopungua tano elfu, pamoja na wapanda farasi mia tano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Yuda na watu wake walipokuwa wanaondoka kutoka hapo kwenda kupambana na Timotheo, wakiwa yapata kilomita mbili tu kutoka Yamnia, walishambuliwa ghafla na Waarabu zaidi ya 5,000, wakisaidiwa na askari wapandafarasi 500. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Yuda na watu wake walipokuwa wanaondoka kutoka hapo kwenda kupambana na Timotheo, wakiwa yapata kilomita mbili tu kutoka Yamnia, walishambuliwa ghafla na Waarabu zaidi ya 5,000, wakisaidiwa na askari wapandafarasi 500. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Ikawa walipofika kiasi cha maili moja na zaidi kidogo kutoka pale, njiani kwenda kwa Timotheo, walishambuliwa na kundi la Waarabu wasiopungua tano elfu, pamoja na wapanda farasi mia tano. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA10 Yuda na watu wake walipokuwa wanaondoka kutoka hapo kwenda kupambana na Timotheo, wakiwa yapata kilomita mbili tu kutoka Yamnia, walishambuliwa ghafla na Waarabu zaidi ya 5,000, wakisaidiwa na askari wapandafarasi 500. Tazama sura |