Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Mapatano hayo yakiisha kufanywa, Lisia alirejea kwa mfalme, na Wayahudi walishughulika na kazi zao za shambani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Makubaliano ya amani kati ya Wayahudi na Wasiria yalipokamilika, Lisia alirejea kwa mfalme na Wayahudi wakarudia kazi zao za shambani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Makubaliano ya amani kati ya Wayahudi na Wasiria yalipokamilika, Lisia alirejea kwa mfalme na Wayahudi wakarudia kazi zao za shambani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Mapatano hayo yakiisha kufanywa, Lisia alirejea kwa mfalme, na Wayahudi walishughulika na kazi zao za shambani. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA1 Makubaliano ya amani kati ya Wayahudi na Wasiria yalipokamilika, Lisia alirejea kwa mfalme na Wayahudi wakarudia kazi zao za shambani. Tazama sura |