Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Nao wote kwa umoja walimhimidi BWANA mwenye rehema, wakajipa moyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mara, wote kwa pamoja, wakamshukuru Mungu kwa huruma yake; alikuwa amewatia ujasiri wa kutosha kwa kushambulia si binadamu tu, bali pia wanyama wakali na hata kuta za chuma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mara, wote kwa pamoja, wakamshukuru Mungu kwa huruma yake; alikuwa amewatia ujasiri wa kutosha kwa kushambulia – si binadamu tu, bali pia wanyama wakali na hata kuta za chuma. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Nao wote kwa umoja walimhimidi BWANA mwenye rehema, wakajipa moyo. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA9 Mara, wote kwa pamoja, wakamshukuru Mungu kwa huruma yake; alikuwa amewatia ujasiri wa kutosha kwa kushambulia si binadamu tu, bali pia wanyama wakali na hata kuta za chuma. Tazama sura |