Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Hata kabla hawajaenda mbali na Yerusalemu, mpanda farasi alitokea mbele yao, amevikwa nguo nyeupe na kushika silaha za dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Lakini, kabla hawajaenda mbali na Yerusalemu, kwa ghafla wakagundua kwamba walikuwa wanaongozwa na mpandafarasi mwenye mavazi meupe, amechukua silaha za dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Lakini, kabla hawajaenda mbali na Yerusalemu, kwa ghafla wakagundua kwamba walikuwa wanaongozwa na mpandafarasi mwenye mavazi meupe, amechukua silaha za dhahabu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Hata kabla hawajaenda mbali na Yerusalemu, mpanda farasi alitokea mbele yao, amevikwa nguo nyeupe na kushika silaha za dhahabu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA8 Lakini, kabla hawajaenda mbali na Yerusalemu, kwa ghafla wakagundua kwamba walikuwa wanaongozwa na mpandafarasi mwenye mavazi meupe, amechukua silaha za dhahabu. Tazama sura |