Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Makabayo mwenyewe alikuwa wa kwanza wa kutwaa silaha, akawaita wengine wamfuate kwa ujasiri wawaokoe ndugu zao. Wakatoka pamoja naye kwa moyo mkuu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Yuda Makabayo alikuwa wa kwanza kuchukua silaha, akawahimiza wengine wajiunge naye katika kutoa mhanga maisha yao ili kuwasaidia Wayahudi wenzao. Hivi, wakatoka pamoja naye kwa ari na motomoto kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Yuda Makabayo alikuwa wa kwanza kuchukua silaha, akawahimiza wengine wajiunge naye katika kutoa mhanga maisha yao ili kuwasaidia Wayahudi wenzao. Hivi, wakatoka pamoja naye kwa ari na motomoto kabisa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Makabayo mwenyewe alikuwa wa kwanza wa kutwaa silaha, akawaita wengine wamfuate kwa ujasiri wawaokoe ndugu zao. Wakatoka pamoja naye kwa moyo mkuu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA7 Yuda Makabayo alikuwa wa kwanza kuchukua silaha, akawahimiza wengine wajiunge naye katika kutoa mhanga maisha yao ili kuwasaidia Wayahudi wenzao. Hivi, wakatoka pamoja naye kwa ari na motomoto kabisa. Tazama sura |