Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Basi, Makabayo na watu wake walipopata habari ya kuhusuriwa ile ngome, wao, pamoja na watu wote, waliomboleza na kulia, wakimsihi BWANA apeleke malaika mwema kumwokoa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Yuda Makabayo na watu wake waliposikia kwamba Lisia alikuwa anazizingira ngome zao, wakalia na kuomboleza pamoja na watu wote, wakimsihi Bwana amtume malaika mwema awaokoe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Yuda Makabayo na watu wake waliposikia kwamba Lisia alikuwa anazizingira ngome zao, wakalia na kuomboleza pamoja na watu wote, wakimsihi Bwana amtume malaika mwema awaokoe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Basi, Makabayo na watu wake walipopata habari ya kuhusuriwa ile ngome, wao, pamoja na watu wote, waliomboleza na kulia, wakimsihi BWANA apeleke malaika mwema kumwokoa Israeli. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 Yuda Makabayo na watu wake waliposikia kwamba Lisia alikuwa anazizingira ngome zao, wakalia na kuomboleza pamoja na watu wote, wakimsihi Bwana amtume malaika mwema awaokoe. Tazama sura |