Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Akaja Uyahudi, akakaribia Bethsuroni, ngome imara mwendo wa kama nusu maili kutoka Yerusalemu, akaihusuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Hivi akaivamia Yudea na kuishambulia ngome ya Beth-zuri, yapata kilomita thelathini kusini ya Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Hivi akaivamia Yudea na kuishambulia ngome ya Beth-zuri, yapata kilomita thelathini kusini ya Yerusalemu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Akaja Uyahudi, akakaribia Bethsuroni, ngome imara mwendo wa kama nusu maili kutoka Yerusalemu, akaihusuru. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 Hivi akaivamia Yudea na kuishambulia ngome ya Beth-zuri, yapata kilomita thelathini kusini ya Yerusalemu. Tazama sura |