Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Lakini juu ya yale aliyoyaona yamhusu mfalme, lete mtu kwetu mara moja, mkiisha kuwafikiria vema, ili tutangaze masharti ya kufaa. Tunakwenda Antiokia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Sasa tumo njiani kwenda Antiokia; kwa hiyo, yachunguzeni kwa makini masuala yale ambayo Lisia alimwuliza mfalme. Halafu tuleteeni majibu haraka kusudi tuweze kuwawakilisheni kwa mfalme, kwa manufaa yenu. Fanyeni hilo mapema iwezekanavyo, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Sasa tumo njiani kwenda Antiokia; kwa hiyo, yachunguzeni kwa makini masuala yale ambayo Lisia alimwuliza mfalme. Halafu tuleteeni majibu haraka kusudi tuweze kuwawakilisheni kwa mfalme, kwa manufaa yenu. Fanyeni hilo mapema iwezekanavyo, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI36 Lakini juu ya yale aliyoyaona yamhusu mfalme, lete mtu kwetu mara moja, mkiisha kuwafikiria vema, ili tutangaze masharti ya kufaa. Tunakwenda Antiokia. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA36 Sasa tumo njiani kwenda Antiokia; kwa hiyo, yachunguzeni kwa makini masuala yale ambayo Lisia alimwuliza mfalme. Halafu tuleteeni majibu haraka kusudi tuweze kuwawakilisheni kwa mfalme, kwa manufaa yenu. Fanyeni hilo mapema iwezekanavyo, Tazama sura |