Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Warumi pia waliwaandikia barua kwa maneno haya: Kwinto Memio na Tito Manio, wajumbe wa Warumi kwa taifa la Wayahudi, salamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Waroma nao waliwaandikia Wayahudi barua ifuatayo: “Kwinto Memio na Tito Manio, wawakilishi wa Waroma, kwa Wayahudi, salamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Waroma nao waliwaandikia Wayahudi barua ifuatayo: “Kwinto Memio na Tito Manio, wawakilishi wa Waroma, kwa Wayahudi, salamu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Warumi pia waliwaandikia barua kwa maneno haya: Kwinto Memio na Tito Manio, wajumbe wa Warumi kwa taifa la Wayahudi, salamu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA34 Waroma nao waliwaandikia Wayahudi barua ifuatayo: “Kwinto Memio na Tito Manio, wawakilishi wa Waroma, kwa Wayahudi, salamu. Tazama sura |