Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Kwa herini. Mwaka mia moja arubaini na nane, siku ya kumi na tano ya Zanthiko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Tunawatakieni fanaka. Imeandikwa siku ya kumi na tano ya mwezi Ksanthiko, mwaka 148.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Tunawatakieni fanaka. Imeandikwa siku ya kumi na tano ya mwezi Ksanthiko, mwaka 148.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI33 Kwa herini. Mwaka mia moja arobaini na nane, siku ya kumi na tano ya Zanthiko. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA33 Tunawatakieni fanaka. Imeandikwa siku ya kumi na tano ya mwezi Ksanthiko, mwaka 148.” Tazama sura |