Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 wana ruhusa kutumia vyakula vyao wenyewe na kuzishika sheria zao kama zamani, wala hakuna atakayesumbuliwa kwa namna yoyote kwa ajili ya tendo alilolitenda kwa kutokujua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Mnaweza kuendelea kushika sheria zenu kuhusu vyakula, na nyinginezo, kama mlivyokuwa mmezoea. Na hapana Myahudi atakayenyanyaswa kwa mambo yaliyofanyika bila kujua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Mnaweza kuendelea kushika sheria zenu kuhusu vyakula, na nyinginezo, kama mlivyokuwa mmezoea. Na hapana Myahudi atakayenyanyaswa kwa mambo yaliyofanyika bila kujua. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 wana ruhusa kutumia vyakula vyao wenyewe na kuzishika sheria zao kama zamani, wala hakuna atakayesumbuliwa kwa namna yoyote kwa ajili ya tendo alilolitenda kwa kutokujua. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA31 Mnaweza kuendelea kushika sheria zenu kuhusu vyakula, na nyinginezo, kama mlivyokuwa mmezoea. Na hapana Myahudi atakayenyanyaswa kwa mambo yaliyofanyika bila kujua. Tazama sura |