Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Nia yake ilikuwa kuufanya ule mji makao ya Wagiriki, na kutoza kodi ya hekalu kama ya mahali patakatifu pengine pa mataifa, na kuunadi ukuhani mkuu kila mwaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 na kulitoza kodi hekalu, kama mahali pengine pote pa ibada ya watu wa mataifa mengine. Na ukuhani mkuu ungenadiwa kila mwaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 na kulitoza kodi hekalu, kama mahali pengine pote pa ibada ya watu wa mataifa mengine. Na ukuhani mkuu ungenadiwa kila mwaka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Nia yake ilikuwa kuufanya ule mji makao ya Wagiriki, na kutoza kodi ya hekalu kama ya mahali patakatifu pengine pa mataifa, na kuunadi ukuhani mkuu kila mwaka. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA3 na kulitoza kodi hekalu, kama mahali pengine pote pa ibada ya watu wa mataifa mengine. Na ukuhani mkuu ungenadiwa kila mwaka. Tazama sura |