Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Menelao ametuarifu ya kuwa mnataka kurudi kwenu na kushughulika na kazi zenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Menelao ameniarifu kwamba mnataka kurudi nyumbani na kushughulika na mambo yenu wenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Menelao ameniarifu kwamba mnataka kurudi nyumbani na kushughulika na mambo yenu wenyewe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Menelao ametuarifu ya kuwa mnataka kurudi kwenu na kushughulika na kazi zenu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA29 Menelao ameniarifu kwamba mnataka kurudi nyumbani na kushughulika na mambo yenu wenyewe. Tazama sura |