Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Barua ya mfalme kwa taifa la Wayahudi ilisema hivi: Mfalme Antioko kwa baraza ya Wayahudi na kwa Wayahudi wengine salamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Ifuatayo ni barua ya mfalme kwa taifa la Wayahudi: “Mimi mfalme Antioko kwa Baraza Kuu la Wayahudi na Wayahudi wengine wote, salamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Ifuatayo ni barua ya mfalme kwa taifa la Wayahudi: “Mimi mfalme Antioko kwa Baraza Kuu la Wayahudi na Wayahudi wengine wote, salamu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Barua ya mfalme kwa taifa la Wayahudi ilisema hivi: Mfalme Antioko kwa baraza ya Wayahudi na kwa Wayahudi wengine salamu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA27 Ifuatayo ni barua ya mfalme kwa taifa la Wayahudi: “Mimi mfalme Antioko kwa Baraza Kuu la Wayahudi na Wayahudi wengine wote, salamu. Tazama sura |