Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Basi, ni mapenzi yetu taifa hilo pia likae bila wasiwasi, nasi tumekata shauri sasa kuwarudishia hekalu lao na kuwaruhusu waishi kwa kuzifuata desturi za wazee wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Kwa vile natamani waishi bila wasiwasi kama mataifa mengine katika milki yangu, sasa natoa amri kwamba warudishiwe hekalu lao, na kuruhusiwa kuishi kadiri ya mila za wazee wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Kwa vile natamani waishi bila wasiwasi kama mataifa mengine katika milki yangu, sasa natoa amri kwamba warudishiwe hekalu lao, na kuruhusiwa kuishi kadiri ya mila za wazee wao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Basi, ni mapenzi yetu taifa hilo pia likae bila wasiwasi, nasi tumekata shauri sasa kuwarudishia hekalu lao na kuwaruhusu waishi kwa kuzifuata desturi za wazee wao. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA25 Kwa vile natamani waishi bila wasiwasi kama mataifa mengine katika milki yangu, sasa natoa amri kwamba warudishiwe hekalu lao, na kuruhusiwa kuishi kadiri ya mila za wazee wao. Tazama sura |