Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Kwa kuwa baba yetu amefariki akaenda kwa miungu, ni mapenzi yetu raia za ufalme wetu wastarehe bila wasiwasi na kushughulika na mambo yao wenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Kwa kuwa baba yangu amekwenda kujiunga na miungu, nataka raia wa ufalme wangu kuendesha mambo yao wenyewe bila kuingiliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Kwa kuwa baba yangu amekwenda kujiunga na miungu, nataka raia wa ufalme wangu kuendesha mambo yao wenyewe bila kuingiliwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Kwa kuwa baba yetu amefariki akaenda kwa miungu, ni mapenzi yetu raia za ufalme wetu wastarehe bila wasiwasi na kushughulika na mambo yao wenyewe. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA23 Kwa kuwa baba yangu amekwenda kujiunga na miungu, nataka raia wa ufalme wangu kuendesha mambo yao wenyewe bila kuingiliwa. Tazama sura |