Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Huyu Lisia hakuwa mjinga. Alifikiri juu ya kushindwa kwake, akafahamu kwamba Waebrania hawashindiki kwa kuwa Mwenyezi Mungu yupo upande wao. Basi, alipeleka watu kupatana nao kwa masharti ya haki juu ya mambo yote, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Lisia, kwa vile hakuwa mjinga, alitafakari juu ya kushindwa kwake vitani, akatambua kwamba Wayahudi walikuwa hawashindiki kwa sababu Mungu Mwenye Nguvu alikuwa amewapigania. Kwa hiyo akapeleka ujumbe, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Lisia, kwa vile hakuwa mjinga, alitafakari juu ya kushindwa kwake vitani, akatambua kwamba Wayahudi walikuwa hawashindiki kwa sababu Mungu Mwenye Nguvu alikuwa amewapigania. Kwa hiyo akapeleka ujumbe, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Huyu Lisia hakuwa mjinga. Alifikiri juu ya kushindwa kwake, akafahamu kwamba Waebrania hawashindiki kwa kuwa Mwenyezi Mungu yupo upande wao. Basi, alipeleka watu kupatana nao kwa masharti ya haki juu ya mambo yote, Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA13 Lisia, kwa vile hakuwa mjinga, alitafakari juu ya kushindwa kwake vitani, akatambua kwamba Wayahudi walikuwa hawashindiki kwa sababu Mungu Mwenye Nguvu alikuwa amewapigania. Kwa hiyo akapeleka ujumbe, Tazama sura |