Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Katika wale waliookoka karibu wote walikuwa wametiwa jeraha na kunyang'anywa kila kitu; hata Lisia mwenyewe alijiokoa kwa kukimbia kwa aibu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Wengi wa hao waliokimbia walikuwa wamejeruhiwa na kupoteza silaha zao. Hata Lisia mwenyewe alikimbia kwa aibu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Wengi wa hao waliokimbia walikuwa wamejeruhiwa na kupoteza silaha zao. Hata Lisia mwenyewe alikimbia kwa aibu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Katika wale waliookoka karibu wote walikuwa wametiwa jeraha na kunyang'anywa kila kitu; hata Lisia mwenyewe alijiokoa kwa kukimbia kwa aibu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA12 Wengi wa hao waliokimbia walikuwa wamejeruhiwa na kupoteza silaha zao. Hata Lisia mwenyewe alikimbia kwa aibu. Tazama sura |