Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Wakawarukia adui kama simba, wakaua askari elfu kumi na moja, na wapanda farasi elfu moja na mia sita, wakawakimbiza wengine wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kama simba, waliwarukia maadui zao na kuwaangusha askari wa miguu 11,000, na wapandafarasi 1,600, na kuwafanya wengine wakimbie. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kama simba, waliwarukia maadui zao na kuwaangusha askari wa miguu 11,000, na wapandafarasi 1,600, na kuwafanya wengine wakimbie. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Wakawarukia adui kama simba, wakaua askari elfu kumi na moja, na wapanda farasi elfu moja na mia sita, wakawakimbiza wengine wote. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA11 Kama simba, waliwarukia maadui zao na kuwaangusha askari wa miguu 11,000, na wapandafarasi 1,600, na kuwafanya wengine wakimbie. Tazama sura |