Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 11:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Wakaenda mbele kwa vikosi vyao, pamoja na msaidizi wao wa mbinguni, tayari sasa kupiga, si watu tu, ila wanyama wakali mno na kuta za chuma, kwa kuwa BWANA amewarehemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Basi, wakaenda mbele wamejipanga kivita, wakiwa pamoja na yule msaidizi kutoka mbinguni, maana Bwana alikuwa amewaonea huruma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Basi, wakaenda mbele wamejipanga kivita, wakiwa pamoja na yule msaidizi kutoka mbinguni, maana Bwana alikuwa amewaonea huruma. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Wakaenda mbele kwa vikosi vyao, pamoja na msaidizi wao wa mbinguni, tayari sasa kupiga, si watu tu, ila wanyama wakali mno na kuta za chuma, kwa kuwa BWANA amewarehemu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA10 Basi, wakaenda mbele wamejipanga kivita, wakiwa pamoja na yule msaidizi kutoka mbinguni, maana Bwana alikuwa amewaonea huruma. Tazama sura |