Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wathesalonike 3:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Si kwamba hatuna haki hiyo, ila kwa makusudi ya kuwapa mfano wa kuiga, mtufuate.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Tulifanya hivyo si kwa kuwa hatuna haki ya kutaka msaada wenu, ila kwa sababu tunataka kuwapeni mfano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Tulifanya hivyo si kwa kuwa hatuna haki ya kutaka msaada wenu, ila kwa sababu tunataka kuwapeni mfano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Tulifanya hivyo si kwa kuwa hatuna haki ya kutaka msaada wenu, ila kwa sababu tunataka kuwapeni mfano.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Tulifanya hivi, si kwa sababu hatukuwa na haki ya kupata msaada kama huo, bali ndio sisi wenyewe tuwe mfano wenu wa kufuata.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Tulifanya hivi, si kwa sababu hatukuwa na haki ya kupata msaada kama huo, bali ndio sisi wenyewe tuwe kielelezo.

Tazama sura Nakili




2 Wathesalonike 3:9
9 Marejeleo ya Msalaba  

wala mkoba wa safari, wala kanzu mbili, wala viatu, wala fimbo; maana mfanyakazi astahili posho yake.


Kwa kuwa nimewapa kielelezo; ili kama mimi nilivyowatendea, nanyi mtende vivyo.


Basi, nawasihi mnifuate mimi.


Mwanafunzi na amshirikishe mwalimu wake katika mema yote.


Hatukutafuta utukufu kwa wanadamu, wala kwenu, wala kwa wengine, ingawa tungeweza kuwalemea kama Mitume wa Kristo;


Mnajua wenyewe jinsi iwapasavyo kutufuata; kwa sababu hatukuenda bila utaratibu kwenu;


Kwa sababu ndio mlioitiwa; maana Kristo naye aliteswa kwa ajili yenu, akawaachia kielelezo, mfuate nyayo zake.


Wala si kama wajifanyao mabwana wa wale walio chini ya utunzaji wao, bali iweni mifano kwa lile kundi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo