2 Wakorintho 9:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Mungu ashukuriwe kwa sababu ya kipawa chake, tusichoweza kukisifu kama ipasavyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Tumshukuru Mungu kwa ajili ya zawadi yake isiyo na kifani! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Tumshukuru Mungu kwa ajili ya zawadi yake isiyo na kifani! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Tumshukuru Mungu kwa ajili ya zawadi yake isiyo na kifani! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Mungu apewe shukrani kwa karama yake isiyoelezeka! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Ashukuriwe Mungu kwa karama yake isiyoelezeka. Tazama sura |