2 Wakorintho 9:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Nao wenyewe, wakiomba dua kwa ajili yenu, wawaonea shauku kwa sababu ya neema ya Mungu iliyozidi sana ndani yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Kwa hiyo watawaombea nyinyi kwa moyo kwa sababu ya neema ya pekee aliyowajalieni Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kwa hiyo watawaombea nyinyi kwa moyo kwa sababu ya neema ya pekee aliyowajalieni Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kwa hiyo watawaombea nyinyi kwa moyo kwa sababu ya neema ya pekee aliyowajalieni Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Nayo mioyo yao itawaonea shauku wanapowaombea, kwa sababu ya neema ipitayo kiasi mliyopewa na Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Nao katika maombi yao kwenu mioyo yao itawaonea shauku kwa sababu ya neema ipitayo kiasi mliyopewa na Mungu. Tazama sura |