Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Wakorintho 8:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Basi waonesheni mbele ya makanisa hakika ya upendo wenu, na sababu ya kujisifu kwetu kwa ajili yenu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Basi, waonesheni uthabiti wa upendo wenu, makanisa yapate kuona kweli kwamba fahari ninayoona juu yenu ni ya halali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Basi, waonesheni uthabiti wa upendo wenu, makanisa yapate kuona kweli kwamba fahari ninayoona juu yenu ni ya halali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Basi, waonesheni uthabiti wa upendo wenu, makanisa yapate kuona kweli kwamba fahari ninayoona juu yenu ni ya halali.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Kwa hiyo waonesheni wazi hawa ndugu uthibitisho wa upendo wenu, na sababu inayotufanya tujivune kwa ajili yenu, ili makundi ya waumini yapate kuuona upendo wenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Kwa hiyo waonyesheni wazi hawa ndugu uthibitisho wa upendo wenu na sababu inayotufanya tujivune kwa ajili yenu, mbele ya makundi ya waumini, ili yapate kuona.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 8:24
5 Marejeleo ya Msalaba  

Basi kanisa likapata raha kote katika Yudea na Galilaya na Samaria, likajengwa, likiendelea na kuongezeka katika kicho cha Bwana, na faraja ya Roho Mtakatifu.


Kwa maana, ikiwa nimejisifu mbele yake katika neno lolote kwa ajili yenu, sikutahayarishwa; bali, kama tulivyowaambia mambo yote kwa kweli, vivyo hivyo na kujisifu kwetu kwa Tito kulikuwa kweli.


Ninao ujasiri mwingi kwenu; naona fahari kuu juu yenu. Nimejaa faraja, katika dhiki yetu yote nimejaa furaha ya kupita kiasi.


Sineni ili kuwaamuru, bali kwa bidii ya watu wengine nijaribu unyofu wa upendo wenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo