2 Wakorintho 8:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Na pamoja naye tukamtuma ndugu yule ambaye sifa zake katika Injili zimeenea makanisani kote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Pamoja naye, tunamtuma ndugu mmoja ambaye sifa zake katika kueneza Injili zimeenea katika makanisa yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Pamoja naye, tunamtuma ndugu mmoja ambaye sifa zake katika kueneza Injili zimeenea katika makanisa yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Pamoja naye, tunamtuma ndugu mmoja ambaye sifa zake katika kueneza Injili zimeenea katika makanisa yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Nasi tunamtuma pamoja naye ndugu ambaye anasifiwa na makundi yote ya waumini kwa huduma yake ya kuhubiri Injili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Nasi tunamtuma pamoja naye ndugu ambaye anasifiwa na makundi yote ya waumini kwa huduma yake ya kuhubiri Injili. Tazama sura |