2 Wakorintho 8:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Tena ndugu zetu, twawaarifu habari ya neema ya Mungu, waliyopewa makanisa ya Makedonia; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Ndugu, tunapenda kuwapa habari juu ya neema ambazo Mungu ameyajalia makanisa ya Makedonia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Ndugu, tunapenda kuwapa habari juu ya neema ambazo Mungu ameyajalia makanisa ya Makedonia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Ndugu, tunapenda kuwapa habari juu ya neema ambazo Mungu ameyajalia makanisa ya Makedonia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Basi sasa ndugu, nataka ninyi mjue kuhusu ile neema ambayo Mungu amewapa waumini wa Makedonia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Basi sasa ndugu, nataka ninyi mjue kuhusu ile neema ambayo Mungu amewapa waumini wa Makedonia. Tazama sura |