2 Wakorintho 3:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Basi “Bwana” ndiye Roho; lakini alipo Roho wa Bwana, hapo ndipo penye uhuru. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Hapa “Bwana” ni Roho; na pale alipo Roho wa Bwana ndipo ulipo uhuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Hapa “Bwana” ni Roho; na pale alipo Roho wa Bwana ndipo ulipo uhuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Hapa “Bwana” ni Roho; na pale alipo Roho wa Bwana ndipo ulipo uhuru. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Basi Bwana Isa ndiye Roho. Mahali alipo Roho wa Bwana Mungu Mwenyezi, hapo pana uhuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Basi Bwana Isa ndiye Roho. Mahali alipo Roho wa Mwenyezi Mungu, hapo pana uhuru. Tazama sura |