2 Wakorintho 3:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Lakini wakati wowote watakapomgeukia Bwana, ule utaji huondolewa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Lakini, wakati mtu amgeukiapo Bwana, kifuniko hicho huondolewa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Lakini, wakati mtu amgeukiapo Bwana, kifuniko hicho huondolewa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Lakini, wakati mtu amgeukiapo Bwana, kifuniko hicho huondolewa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Lakini wakati wowote mtu anapomgeukia Bwana Mungu Mwenyezi, utaji unaondolewa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Lakini wakati wowote mtu anapomgeukia Bwana Isa, utaji unaondolewa. Tazama sura |