2 Wakorintho 2:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Kwa hiyo nawasihi kumthibitishia upendo wenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kwa hiyo nawasihi: Mwonesheni kwamba mnampenda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kwa hiyo nawasihi: Mwonesheni kwamba mnampenda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kwa hiyo nawasihi: mwonesheni kwamba mnampenda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kwa hiyo, nawasihi mpate kuuthibitisha tena upendo wenu kwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwa hiyo, nawasihi, mpate kuuthibitisha tena upendo wenu kwa ajili yake. Tazama sura |