Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Wakorintho 12:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Kwa ajili ya kitu hicho nilimsihi Bwana mara tatu kwamba kinitoke.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo hili ili linitoke.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo hili ili linitoke.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo hili ili linitoke.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Kwa habari ya jambo hili, nilimsihi Mwenyezi Mungu mara tatu aniondolee mwiba huu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kwa habari ya jambo hili nilimsihi Bwana Isa mara tatu aniondolee mwiba huu.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 12:8
10 Marejeleo ya Msalaba  

Na hilo vazi, lililofumwa, au lililosokotwa, au kitu chochote cha ngozi, utakalolifua, kama hilo pigo limetoka na kuliacha, ndipo litafuliwa mara ya pili, nalo litakuwa safi.


Jambo hili likatendeka mara tatu, kisha vitu vyote vikavutwa tena juu mbinguni.


Kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa.


Yeye, siku hizo za mwili wake, alimtolea yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu;


Najuta kwa sababu nimemtawaza Sauli awe mfalme; maana amerudi nyuma, asinifuate, wala hakufanya nilivyomwamuru. Samweli akasikitika, akamlilia BWANA usiku kucha.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo