2 Wakorintho 12:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 ya kuwa alinyakuliwa mpaka Peponi, akasikia maneno yasiyotamkika, ambayo haistahili mwanadamu ayaseme. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Huko akasikia mambo ya siri ambayo binadamu hastahili kuyatamka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Huko akasikia mambo ya siri ambayo binadamu hastahili kuyatamka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Huko akasikia mambo ya siri ambayo binadamu hastahili kuyatamka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 alinyakuliwa hadi Paradiso. Huko alisikia mambo yasiyoelezeka, mambo ambayo binadamu hana ruhusa ya kuyasimulia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 alinyakuliwa hadi Paradiso. Huko alisikia mambo yasiyoelezeka, mambo ambayo binadamu hana ruhusa ya kuyasimulia. Tazama sura |
Naye akanyosha mfano wa mkono, akanishika kwa kishungi kimoja cha nywele za kichwa changu; nayo roho ikaniinua kati ya dunia na mbingu, ikanileta katika maono ya Mungu mpaka Yerusalemu, mpaka mlango wa kuingilia ua wa ndani uelekeao upande wa kaskazini; mahali palipokuwa pamewekwa sanamu ya wivu, itiayo wivu.