2 Wakorintho 12:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Sina budi kujisifu, ijapokuwa haipendezi; lakini nitafikia maono na mafunuo ya Bwana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Nitajivuna basi, ingawa haifai! Lakini sasa nitasema juu ya maono na ufunuo alivyonijalia Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Nitajivuna basi, ingawa haifai! Lakini sasa nitasema juu ya maono na ufunuo alivyonijalia Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Nitajivuna basi, ingawa haifai! Lakini sasa nitasema juu ya maono na ufunuo alivyonijalia Bwana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Yanipasa nijisifu. Ingawa haifaidi kitu, nitanena kuhusu maono na mafunuo kutoka kwa Bwana Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Yanipasa nijisifu, ingawa haifaidi kitu. Nitaenda kwenye maono na ufunuo kutoka kwa Bwana Isa. Tazama sura |