2 Wakorintho 11:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Lakini nijapokuwa mimi ni mtu asiyejua kunena, hii si hali yangu katika elimu; ila katika kila neno tumedhihirishwa kwenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Labda sina ufasaha wa lugha, lakini elimu ninayo; jambo hili tumelionesha wazi kwenu, kila mahali na kila wakati. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Labda sina ufasaha wa lugha, lakini elimu ninayo; jambo hili tumelionesha wazi kwenu, kila mahali na kila wakati. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Labda sina ufasaha wa lugha, lakini elimu ninayo; jambo hili tumelionesha wazi kwenu, kila mahali na kila wakati. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Inawezekana mimi si mnenaji hodari, lakini ni hodari katika elimu. Jambo hili tumelifanya liwe dhahiri kwenu kwa njia zote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Inawezekana mimi nikawa si mnenaji hodari, lakini ni hodari katika elimu. Jambo hili tumelifanya liwe dhahiri kwenu kwa njia zote. Tazama sura |