2 Wakorintho 11:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Kwa Wayahudi mara tano nilipata mapigo arubaini kasoro moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Mara tano nilichapwa vile viboko arubaini kasoro kimoja vya Wayahudi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Mara tano nilichapwa vile viboko arubaini kasoro kimoja vya Wayahudi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Mara tano nilichapwa vile viboko arubaini kasoro kimoja vya Wayahudi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Mara tano nimepigwa na Wayahudi mijeledi arobaini kasoro moja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Mara tano nimechapwa na Wayahudi viboko arobaini kasoro kimoja. Tazama sura |