2 Wakorintho 11:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Ninenalo silineni agizo la Bwana, bali kama kwa upumbavu, katika ujasiri huu wa kujisifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Ninachosema sasa si kile alichoniagiza Bwana; kuhusu jambo hili la kujivuna, nasema tu kama mtu mpumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Ninachosema sasa si kile alichoniagiza Bwana; kuhusu jambo hili la kujivuna, nasema tu kama mtu mpumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Ninachosema sasa si kile alichoniagiza Bwana; kuhusu jambo hili la kujivuna, nasema tu kama mtu mpumbavu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Ninayosema kuhusiana na huku kujisifu kwa kujiamini, sisemi vile Bwana Isa angesema, bali kama mjinga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Ninayosema kuhusiana na huku kujisifu kwa kujiamini, sisemi kama vile ambavyo Bwana Isa angesema, bali kama mjinga. Tazama sura |