2 Wakorintho 10:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 nisije nikaonekana kana kwamba nataka kuwaogofya kwa nyaraka zangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Sipendi mfikiri kwamba nataka kuwatisha nyinyi kwa barua zangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Sipendi mfikiri kwamba nataka kuwatisha nyinyi kwa barua zangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Sipendi mfikiri kwamba nataka kuwatisha nyinyi kwa barua zangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Sitaki nionekane kama ninayejaribu kuwatisha kwa nyaraka zangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Sitaki nionekane kama ninayejaribu kuwatisha kwa nyaraka zangu. Tazama sura |