2 Wakorintho 10:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Maana, nijapojisifu zaidi kidogo kwa ajili ya mamlaka yetu, (tuliyopewa na Bwana, tupate kuwajenga wala si kuwaangusha), sitatahayarika; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Hata kama nimezidi katika kujivuna kwangu juu ya ule uwezo aliotupa – uwezo wa kuwajenga na sio wa kubomoa – hata hivyo sijuti hata kidogo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Hata kama nimezidi katika kujivuna kwangu juu ya ule uwezo aliotupa – uwezo wa kuwajenga na sio wa kubomoa – hata hivyo sijuti hata kidogo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Hata kama nimezidi katika kujivuna kwangu juu ya ule uwezo aliotupa — uwezo wa kuwajenga na sio wa kubomoa — hata hivyo sijuti hata kidogo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Basi hata nikijisifu zaidi kidogo kuhusu mamlaka tuliyo nayo, ambayo Bwana Isa alitupatia ili kuwajenga wala si kuwabomoa, mimi sitaionea haya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Basi hata kama nikijisifu zaidi kidogo kuhusu mamlaka tuliyo nayo, ambayo Bwana Isa alitupa ili kuwajenga wala si kuwabomoa, mimi sitaionea haya. Tazama sura |