2 Wakorintho 1:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 naye ndiye aliyetutia mhuri akatupa arabuni ya Roho mioyoni mwetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 ndiye aliyetutia mhuri wa kuwa mali yake yeye na kutujalia Roho mioyoni mwetu kama dhamana ya mambo yote ambayo ametuwekea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 ndiye aliyetutia mhuri wa kuwa mali yake yeye na kutujalia Roho mioyoni mwetu kama dhamana ya mambo yote ambayo ametuwekea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 ndiye aliyetutia mhuri wa kuwa mali yake yeye na kutujalia Roho mioyoni mwetu kama dhamana ya mambo yote ambayo ametuwekea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 kwa kututia muhuri wake na kutupatia Roho wake Mtakatifu mioyoni mwetu kuwa rehani kwa ajili ya kututhibitishia yote aliyotuahidi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 kwa kututia muhuri wake na kutupa Roho wake mioyoni mwetu kuwa rehani kwa ajili ya kututhibitishia kile kijacho. Tazama sura |