2 Wafalme 7:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Na mabawabu wakaita wakawaambia watu wa nyumba ya mfalme. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Walinda malango wakaeneza habari hizi mpaka zikafika nyumbani kwa mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Walinda malango wakaeneza habari hizi mpaka zikafika nyumbani kwa mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Walinda malango wakaeneza habari hizi mpaka zikafika nyumbani kwa mfalme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Walinzi wa langoni wakatangaza habari ile kwa sauti kuu, na taarifa hii ikatolewa ndani ya jumba la mfalme. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Walinzi wa langoni wakatangaza habari ile kwa sauti kuu, na taarifa hii ikatolewa ndani ya jumba la mfalme. Tazama sura |