2 Wafalme 6:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Hata walipokwisha kuingia Samaria, Elisha akasema, BWANA wafumbue macho watu hawa, wapate kuona. BWANA akawafumbua macho wakaona; kumbe! Walikuwa katikati ya Samaria. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Mara walipoingia mjini, Elisha akaomba, akisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, wafumbue macho ili waone.” Mwenyezi-Mungu akasikia ombi lake, akawafumbua macho. Nao wakajikuta wako katikati ya mji wa Samaria. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Mara walipoingia mjini, Elisha akaomba, akisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, wafumbue macho ili waone.” Mwenyezi-Mungu akasikia ombi lake, akawafumbua macho. Nao wakajikuta wako katikati ya mji wa Samaria. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Mara walipoingia mjini, Elisha akaomba, akisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, wafumbue macho ili waone.” Mwenyezi-Mungu akasikia ombi lake, akawafumbua macho. Nao wakajikuta wako katikati ya mji wa Samaria. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Baada ya kuingia mjini, Al-Yasa akasema, “Mwenyezi Mungu, yafungue macho ya watu hawa ili wapate kuona.” Ndipo Mwenyezi Mungu akayafungua macho yao, na walipotazama, kumbe hapo ndipo walipojikuta, ndani ya Samaria. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Baada ya kuingia mjini, Al-Yasa akasema, “bwana, yafungue macho ya watu hawa ili wapate kuona.” Ndipo bwana akayafungua macho yao, na walipotazama, kumbe hapo ndipo walipojikuta, ndani ya Samaria. Tazama sura |