2 Wafalme 6:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Akamjibu, Usiogope; maana walio pamoja nasi ni wengi kuliko wale walio pamoja nao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Elisha akamjibu, “Usiogope kwa sababu walio pamoja nasi ni wengi kuliko walio pamoja nao.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Elisha akamjibu, “Usiogope kwa sababu walio pamoja nasi ni wengi kuliko walio pamoja nao.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Elisha akamjibu, “Usiogope kwa sababu walio pamoja nasi ni wengi kuliko walio pamoja nao.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Nabii akajibu, “Usiogope. Wale walio pamoja nasi ni wengi kuliko wale walio pamoja nao.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Nabii akajibu, “Usiogope. Wale walio pamoja nasi ni wengi zaidi kuliko wale walio pamoja nao.” Tazama sura |