2 Wafalme 6:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Kisha, wana wa manabii wakamwambia Elisha, Angalia basi, mahali tukaapo mbele yako ni padogo kwetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Siku moja, wanafunzi wa manabii walimlalamikia Elisha wakisema, “Mahali hapa tunapokaa ni padogo sana kwetu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Siku moja, wanafunzi wa manabii walimlalamikia Elisha wakisema, “Mahali hapa tunapokaa ni padogo sana kwetu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Siku moja, wanafunzi wa manabii walimlalamikia Elisha wakisema, “Mahali hapa tunapokaa ni padogo sana kwetu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Wana wa manabii wakamwambia Al-Yasa, “Tazama, mahali hapa tunapokutana nawe ni padogo sana kwetu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Wana wa manabii wakamwambia Al-Yasa, “Tazama, mahali hapa tunapokutana nawe ni padogo sana kwetu. Tazama sura |