2 Wafalme 4:44 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC44 Basi akawaandalia, nao wakala, wakasaza, sawasawa na neno la BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema44 Mtumishi wake akawaandalia chakula, wakala wote wakashiba, na kingine kikabaki, kama Mwenyezi-Mungu alivyosema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 Mtumishi wake akawaandalia chakula, wakala wote wakashiba, na kingine kikabaki, kama Mwenyezi-Mungu alivyosema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 Mtumishi wake akawaandalia chakula, wakala wote wakashiba, na kingine kikabaki, kama Mwenyezi-Mungu alivyosema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu44 Basi akaiandaa mbele yao ile mikate, wakala na baadhi yake wakasaza, sawasawa na neno la Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu44 Basi akaiandaa mbele yao ile mikate, wakala na baadhi yake wakasaza, sawasawa na neno la bwana. Tazama sura |