2 Wafalme 4:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC43 Na mtumishi wake akasema, Je! Niwaandalie hiki watu mia moja? Lakini akasema, Uwape watu, ili wale; kwa kuwa BWANA asema hivi, Watakula na kusaza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Mtumishi wake akasema, “Sitawapa kwa sababu hakitawatosha watu 100”. Elisha akasema, “Wape wale, kwa sababu Mwenyezi-Mungu amesema kwamba watakula washibe na kingine kitabaki.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Mtumishi wake akasema, “Sitawapa kwa sababu hakitawatosha watu 100”. Elisha akasema, “Wape wale, kwa sababu Mwenyezi-Mungu amesema kwamba watakula washibe na kingine kitabaki.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Mtumishi wake akasema, “Sitawapa kwa sababu hakitawatosha watu 100”. Elisha akasema, “Wape wale, kwa sababu Mwenyezi-Mungu amesema kwamba watakula washibe na kingine kitabaki.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Mtumishi wake akamuuliza, “Nitawezaje kuandaa hii mbele ya watu mia moja?” Lakini Al-Yasa akajibu, “Wape watu ili wale. Kwa maana hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu: ‘Watakula na kusaza.’ ” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Mtumishi wake akamuuliza, “Nitawezaje kuandaa hii mbele ya watu mia?” Lakini Al-Yasa akajibu, “Wape watu ili wale. Kwa maana hivi ndivyo asemavyo bwana: ‘Watakula na kusaza.’ ” Tazama sura |