Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wafalme 4:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

37 Ndipo akaingia, akamwangukia miguu akainama mpaka nchi; kisha akamchukua mwanawe, akatoka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Akainama miguuni pa Elisha kwa shukrani na kumchukua mwanawe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Akainama miguuni pa Elisha kwa shukrani na kumchukua mwanawe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Akainama miguuni pa Elisha kwa shukrani na kumchukua mwanawe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Akaingia ndani, akaanguka miguuni pa Al-Yasa na kusujudu hadi chini. Kisha akamchukua mwanawe na kutoka nje.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Akaingia ndani, akaanguka miguuni pa Al-Yasa na kusujudu hadi nchi. Kisha akamchukua mwanawe na kutoka nje.

Tazama sura Nakili




2 Wafalme 4:37
6 Marejeleo ya Msalaba  

Yusufu akawatoa katika magoti yake, naye akainama kifudifudi


Mwanamke akamwambia Eliya, Sasa najua ya kuwa wewe ndiwe mtu wa Mungu, na ya kuwa neno la BWANA kinywani mwako ni kweli.


Na hao wana wa manabii, waliokuwako Yeriko wakimkabili, walipomwona, walisema, Roho ya Eliya inakaa juu ya Elisha. Wakaja kuonana naye, wakainama kifudifudi mbele yake.


Naye alipofika kwa yule mtu wa Mungu kilimani, alimshika miguu. Gehazi akakaribia amwondoe; lakini mtu wa Mungu akamwambia, Mwache; maana roho yake ndani yake ina uchungu; na BWANA amenificha, wala hakuniambia.


Akamwita Gehazi, akasema, Mwite yule Mshunami. Basi akamwita. Na alipofika kwake, Elisha akasema, Haya! Mchukue mwanao.


Wanawake walipokea wafu wao waliofufuliwa. Lakini wengine waliumizwa vibaya hata kuuawa, wasikubali ukombozi, ili wapate ufufuo ulio bora;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo