2 Wafalme 4:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Akamwita Gehazi, akasema, Mwite yule Mshunami. Basi akamwita. Na alipofika kwake, Elisha akasema, Haya! Mchukue mwanao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Elisha akamwita Gehazi na kumwambia, “Mwite yule Mshunami.” Alipoitwa Elisha akamwambia, “Mchukue mwanao.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Elisha akamwita Gehazi na kumwambia, “Mwite yule Mshunami.” Alipoitwa Elisha akamwambia, “Mchukue mwanao.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Elisha akamwita Gehazi na kumwambia, “Mwite yule Mshunami.” Alipoitwa Elisha akamwambia, “Mchukue mwanao.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Al-Yasa akamwita Gehazi na kumwambia, “Mwite huyo Mshunami.” Naye akafanya hivyo. Yule Mshunami alipokuja, Al-Yasa akasema, “Mchukue mwanao.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Al-Yasa akamwita Gehazi na kumwambia, “Mwite huyo Mshunami.” Naye akafanya hivyo. Yule Mshunami alipokuja, Al-Yasa akasema, “Mchukue mwanao.” Tazama sura |