2 Wafalme 4:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Na mama yake yule mtoto akasema, Kama BWANA aishivyo, na roho yako iishivyo, sitakuacha. Basi akaondoka, akamfuata. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Mwanamke akamwambia Elisha, “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo na kama wewe uishivyo, sitakuacha.” Basi Elisha akaondoka na kufuatana naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Mwanamke akamwambia Elisha, “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo na kama wewe uishivyo, sitakuacha.” Basi Elisha akaondoka na kufuatana naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Mwanamke akamwambia Elisha, “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo na kama wewe uishivyo, sitakuacha.” Basi Elisha akaondoka na kufuatana naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Lakini mama mtoto akasema, “Hakika kama Mwenyezi Mungu aishivyo na wewe uishivyo, sitakuacha.” Kwa hiyo Al-Yasa akainuka, akafuatana naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Lakini mama mtoto akasema, “Hakika kama bwana aishivyo na wewe uishivyo, sitakuacha.” Kwa hiyo Al-Yasa akainuka, akafuatana naye. Tazama sura |