2 Wafalme 4:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Akamchukua, akampeleka kwa mama yake, naye akakaa magotini mwake hata adhuhuri, kisha akafa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Alipofikishwa kwa mama yake, alikaa juu ya magoti ya mama yake mpaka adhuhuri, halafu akafa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Alipofikishwa kwa mama yake, alikaa juu ya magoti ya mama yake mpaka adhuhuri, halafu akafa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Alipofikishwa kwa mama yake, alikaa juu ya magoti ya mama yake mpaka adhuhuri, halafu akafa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Baada ya mtumishi kumbeba na kumpeleka kwa mama yake, mtoto akaketi mapajani mwa mama yake hadi adhuhuri, kisha akafa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Baada ya mtumishi kumbeba na kumpeleka kwa mama yake, mtoto akaketi mapajani mwa mama yake mpaka adhuhuri, kisha akafa. Tazama sura |